Saturday, June 11, 2016

 Mkutano wa Tain umekuwa kivutio kwa asilimia kubwa ya wajumbe walioweza kufika katika mkutano huu, na hii pia huonesha kuwa jambo kama hili likitiliwa mkazo kwa makanisa basi tutafika mbali hususani  kwenye kipindi hiki cha sayansi na teknolojia.
Leo tutapata kusikiliza santuri au audio ambayo imekuwa mbaraka sana kwenye mkutano huu kwani imefafanua juu ya maudhui makubwa yaliyomo ndani ya mkutano wa Tain.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA