Saturday, June 04, 2016

Mahubiri kwa njia ya hadhara yaliyokuwa chini ya kanisa la Kimara Sda yamefikia tamati leo June 4,2016 ambayo yalikuwa ni kwa wiki tatu yakiendeshwa kwa mtindo wa masomo ya afya, nyimbo, kaya na familia, mahusiano ya Waadventista na waislamu (AMR) mahubiri makuu.
Mapema leo waliosimamia masomo hayo walipata fursa ya kuhitimisha kwa kuwaaga wanamkutano na baadae tukio la kuwapokea wabatizwa lilifuata huku wajumbe wa baraza la Kanisa la Kimara wakipita na kuwapa mkono waliompokea Bwana kwa njia ya ubatizo.






Baada ya ubatizo watumishi wa Bwana waliobatizwa walipata fursa ya kupiga picha ya pamoja.
Wajumbe wa baraza walipokuwa wakitoa mikono ya pongezi kwa waliobatizwa na kuwatia moyo.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA