Sunday, June 05, 2016

Mkutano wa wadau wa habari na mawasiliano ambao pia ni watumiaji wa internet wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania ukijulikana kama Tanzania Adventist Internet Network, unaanza hapo mapema siku ya kesho ukiwa umepokelewa kwa shauku kubwa na wawakilishi toka makanisa, taasisi na wadau wa binafsi.
Injilileo Blog imefanikiwa kuwasili jioni ya leo mjini Dodoma huku ikiwa na muwakilishi wa idara ya Mawasiliano toka Kanisa la Kimara sda. Kama timu itahakikisha umepata yote yatakayojili huku kwani ni haki yako kuyapata na siku ya kesho mkutano utaanza asubuhi mapema kwa ibada ya ufunguzi kuongozwa na Mchungaji Mark Malekana ambaye ni Mwenyekiti wa Unioni ya Kusini mwa Tanzania.
Maandalizi ya mwisho kabisa ya mkutano kama yanavyoonekana.
Maandalizi ya mwisho kabisa ya mkutano kama yanavyoonekana.
Picha na Gidion Msambwa

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA