Saturday, June 11, 2016

 Ule mkutano wa wanatehama, wanamawasiliano na wanahabari Waadventista Wa Sabato unafikia tamati siku ya leo, ikiwa ni Sabato ya pekee kwani itahudhuriwa na umati wa mamia ya watu na mchana programu za kuagana kwa wajumbe itafanyika hapa katika kanisa la Waadventista Wa Sabato Dodoma Mjini Kati.
Leo ibada ya asubuhi imeanza kwa nyimbo kutoka kitabu cha nyimbo za Kristo na zikiimbwa na wajumbe wa mkutano wa Tain, barikiwa na ibada ya leo.








****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA