Wednesday, June 08, 2016

Askofu Mkuu wa kanisa la Waadventista Wa Sabato Jimbo kuu la Kusini mwa Tanzani Mchungaji Mark Warwa Malekana
Askofu Mkuu wa kanisa la Waadventista Wa Sabato Jimbo kuu la Kusini mwa Tanzani Mchungaji Mark Warwa Malekana ametoa rai kwa waumini wote Tanzania Kufanya kazi Siku sita na siku ya saba yaje kanisani kwa Ibada na Mapumziko tena bila kusahau kutoa Zaka na Sadaka kama shukrani kwa Mungu mpaji.
Mchungaji Marekana Amesema Sasa kanisa Tanzania na Afrika limejitoshereza kwa kila Taaluma Kama wanahabari walio bobea tunao, Wahasibu wenye CPA tunao, Wahandisi Tunao, Wanatheolojia Tunao Shida ni Waamini wengi Ni udumavu wa Kiroho.
Mchungaji Marekana Amesema hayo hii leo wakati akiusalimu Mkutano wa TAiN Unao endelea Mjini Dodoma.
Ombea Kanisa la Waadventista lisonge mbele katika Ukomavu wa kiroho.
Habari na picha na Haruni Kikiwa


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA