Wednesday, June 08, 2016

Mkutano unaoendelea katika kanisa la Dodoma Sda na ikiwa ni siku ya tatu tangu kuanza rasmi kwa mkutano huu wa mawasiliano na habari.
Leo ibada ya ufunguzi imeletwa na Mchungaji Kaniki ambaye alifafanua aina za mawasiliano ambazo ni;-
Zifuatazo ni aina tatu za mawasiliano ambazo huelezea namna njia hizi zinavyofanya kazi.
1. Maandishi

Hapa ni machapisho mbalimbali ambapo alisisitiza kuwa njia ya maandishi ndio ilisaidia kuipeleka injili mbele kwenye kipindi kama cha nabii Mama White watu walitoa machapisho yake mbalimbali ambayo pia yalisaidia injili kwenda mbele.
2. Mawasiliano kwa njia ya mdomo
mwanzo 1:28-20
- Mawasiliano haya yanamuhm sana kwa wanandoa na kwa nyanja nyingine ya watumiaji wa mawasiliano.
1Petro3:7
3.Mawasiliano ya kimya

 - Muonekano wa sura yake na vitendo vyake zinaashiria ujumbe au taarifa fulani juu jambo fulani.

Mwanzo 4:5-6
Dalili za mawasiliano ya mdomo
1. Usikilizaji
2 Mzungumzaji
3.Utawala wa mazungumzo

Picha na Almodad Amos 


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA