Wednesday, June 08, 2016

Moja ya tukio ambalo Miriam alialikwa katika kanisa la Waadventista Wasabato Kimara
 Kati ya nyimbo za muimbaji wa nyimbo za Injili na kijamii kutoka nchini Tanzania Miriam Chirwa ambazo zilipata nafasi ya kumtambulisha vyema binti huyu ni wimbo unaoitwa Elimu ni Mwanga. Ni wimbo ambao ulionekana kugusa hisia za watu wa aina zote bila kujali Umri, Jinsia wala dini.

Mwaka mmoja uliopita, Injilileo kupitia mtandao wao wa kijamii wa Youtube/injilileotv tuliweka wimbo huo kwa lengo la kuwapatia watu fursa ya kusikiliza wimbo huo. Ni idadi kubwa wamejitokeza kuusikilizza hadi sasa na wengine wamepata nafasi ya kuandika mawazo yao.

Haya chini hapa ni mawazo ambayo wametoa wachache kwa kuandika kile kilicho moyoni...
 Timu nzima ya Injilileo inaendelea kumtakia heri katika huduma yake ya uimbaji, na tunaahidi kuendelea kuwa naye bega kwa bega.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA