Tuesday, June 07, 2016

Mr. Atanus Sigoma Mhazini wa ECT (Konferensi ya Mashariki kati mwa Tanzania
Mr. Atanus Sigoma Mhazini wa ECT akitoa Somo la asubuhi ya leo katika Mikutano ya TAiN inayo endelea hapa Dodoma .
Pamoja na mengi aliyo yasisitiza yafuatayo ni baadhi:
1. Huu ni wakati Wakwenda na Technology ili kwenda na kasi kubwa katika kuinjilisha Dunia.
2. Ulimwengu wa sasa Makarani wa Kanisa wanahitaji Kujua Kompyuta kwa matumizi ya utunzaji wa kumbukumbu za kanisa
3. Akionesha kuwa kuto endana na technology ni hasara akifafanua hili alisema Watu wengi wameshindwa kuendelea na Kazi au kupata kazi kwasababu ya kukosa ujuzi huu.
4. Akisisitiza swala la kwenda na technology alitahadharisha Waumini katika Matumizi sahihi ya technology nakwamba Mungu yuko juu ya technology kwani yeye ndiye Technology yenyewe.
5. Akisisitiza matumizi sahihi ya Mitandao alisema nimuhimu kujua Kuna mema na Mabaya hivyo tuchunge sana Macho yetu. Zaburi 119:37"Unigeuze Macho yangu nisitazame visivyofaa, Unihuishe katika njia yako."

Endelea kuiombea Mikutano hii.

Habari&Picha na Haruni Kikiwa



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA