Tuesday, June 07, 2016

Aliyetoa zawadi kwenye zoezi hili alikuwa ni Mama Mchungaji Kianzi (aliye kushoto)
 Wadau wa mtandao na wanahabari hapo jana walijitokeza kwenye zoezi la kuonesha Biblia zao ambazo ni mbali na zile zilizoko kwenye kifaa (device) kingine cha mawasiliano, walijitokeza watu 45 na leo walipokea zawadi zao
Watu 45 Walio Kuja katika Mikutano ya TAiN wakipokea zawadi kwasababu ya kuwa na Softy Copy na Hard Copy Bible Mikononi
Hizi zawadi nikwaajili ya kuwatia moyo watu kuwa Na Soft copy na Hard Copy popote waendapo.
 Picha na Haruni Kikiwa

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA