Saturday, June 11, 2016

Ambaye alikuwa karani kwa miaka mitatu mfululizo na baadaye alipata mafunzo ya kuweka kupata taarifa za washiriki wake wa Dodoma Central Sda kama karani mkuu huku akitumia muda wake mwingi katika kazi hii.
Mr Mark alienda mbali mpaka kutumia fedha na muda wake wa ziada huku akipiga picha za washiriki na kuzihifadhi ndani ya mfumo wa kutunza kumbukumbu za washiriki unaoitwa Adventist Church Management System (ACMS). Uongozi wa Tain leo umempatia karani huyu tuzo ya karani bora Tanzania nzima kwani yeye aliweza kuwasajili washiriki wote ndani ya mfumo huo.

Mr Mark aliyeshika maiki alisema machache huku akishukuru waandaji wa tuzo na bila kusahau mke wake ambaye pia alikuja nae kuchukua tuzo ambaye kwenye picha yuko mpande wa kulia.



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA