Saturday, June 11, 2016

Ndiyo salamu iliyotawala hapa Kilosa katika ibada ya leo. Ndani ya uwanja huu wa Azimio watu walikuwa wakimiminika kupata uponyaji wa kiroho na wa kimwili kwa kundi la madaktari takribani 25 kutoka IMTU Dar es Salaam walioingia hapa usiku wa jana. Endelea kutuombea


Picha na Habari Stephen Letta


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA