Sunday, June 12, 2016

Mzee Eliamani Kachua Mwanzilishi wa TAAWA Tanzania Akitoa taarifa fupi ya Chama hiki katika mkutano wa TAiN Dodoma.
Amesema hayo Mzee Eliamani Kachua Mwanzilishi wa TAAWA Tanzania Akitoa taarifa fupi ya Chama hiki katika mkutano wa TAiN Dodoma.
TAAWA ni Tanzani Adventist Authors' And Writers' Association.
-Chama hiki kilianza Septemba 2002
-Cha kimesajili zaidi ya watu 150 Tanzania
-chama kimesajiliwa na Selikali ya Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania.
Jinsi ya Kujiunga na TAAWA
-Uwe Mwadventista Msabato.
-Ujaze Form ya Maombi
-Utoe Kiingilio cha shs 50, 000/=
-Akaunti ya TAAWA-NBC- 026201047347
Kwa maelezo zaidi 0769073177-Pr. Mtaki 0765844085 Pr. Madatta. 0713415291, 0754475672.
OMBEA TAAWA OMBEA UINJILISTI KUPITIA MACHAPISHO.
KWAAJILI YA KUITIKIA KAULIMBIU YA UTUME KWANZA NI WAKATI WA MAVUNO.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA