Friday, July 29, 2016

Kilimanjaro: Chupa 24 za damu zatolewa tarehe 27/07/2016 na Timu ya Mkutano wa Injili Unao endeshwa Na Idara ya Wanawake ya North East Tanzania Conference Katika eneo la Sanya juu.
Mikutano hii iliyo anza tarehe 10/07/2016 inategemewa kuisha tarehe 30/07/2016.
Muhubiri Mkuu wa Mikutano Hii ni Mrs. Salome Ngussa Mkurugenzi wa Idara ya Wanawake NETC
Ombea Mikutano hii ili BWANA ajipatiye Maelfu kwa Utukufu wake. 
By Mwanahabari wako Mchungaji Haruni Kikiwa Mchungaji wa Mtaa wa Mbalizi

Kushoto aliye vaa shuti Ndiye Mchungaji wa Mtaa wa sanya Juu Pr. Sinyaw




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA