Monday, July 11, 2016






 Na idara ya Mawasiliano Kimara SDA
Moja katika ya mambo muhimu kwa kanisa kwa sasa ni uangalizi wa vijana wadogo ambao ndio hazina kubwa Mungu aliyotupa, kwa kulitambua hilo Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kimara la jijini Dar Es Salaam lilitenga siku maalum kwa ajili ya programu maalum kwa watoto kwa kuwawezesha wao kujitambua na kuhisi kuwa ni sehemu muhimu kwa kanisa lao.
Jumamosi ya tarehe 9 July,2016 watoto walikuwa na programu mbalimbali ikiwemo shule ya Sabato ambapo pamoja na mammbo mengine watoto walitoa taarifa ya uinjilisti walioufanya kipindi cha mkutano wa injili sehemu ya Kimara Suka.
Mungu akubariki unapopanga kuombea kundi hili, AMINA.
 PICHA ZAIDI>>KIMARA SDA WEBSITE
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA