Monday, July 18, 2016


 Kimara Sda
Sherehe za makambi kwa mwaka 2016 zinaendelea kwa makanisa mbalimbali huku Mtaa wa kimara wenye makanisa ya Kimara na King'ongo pamoja na makundi yake, umejipanga kwa hili.
Mkutano huu utakuwa na wageni mbalimbali toka ndani na nje ya nchi.
Msikilize Muinjilisti Dr Mhando anasema jambo katika video hii juu ya makmbi ya mtaa wa kimara.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA