Saturday, August 13, 2016

 Wiki jana waimbaji wa kikundi cha Light Bearers toka jijini Dar Es Salaam walipata changamoto katika mazoezi ya kutengeneza video yao nchini Uingereza walipokwenda kwenye mkutano wa injili.
Chanzo toka blog ya Mtangazaji Maduhu inasema, waimbaji hawa walienda London wakitokea Reading walipofikia kwenye mkutano wa injili na huko walipata changamoto katika kazi hiyo kwani kila walipotaka kufanya kazi ya kushoot, wenyeji wa hapo walizunguka kuwasikiliza na kuwatazama na hivyo kufanya huduma hivyo hiyo kusimama.
Habari njema kuwa video hiyo sasa iko tayari na tumeweza kukuwekea itazame hapo chini.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA