Saturday, August 13, 2016

Makambi ya mtaa wa Tegeta yaliyoanza tarehe 6 Agosti na linahitimishwa siku ya leo. Kambi hili limekuwa na mbaraka wa aina yake kwani siku ya jana ijumaa wapendwa 49 walimpokea Bwana na kubatizwa kwa maji mengi.
Huduma hii ya ubatizo ilifanywa na Mchungaji Steven Ngussa




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA