Friday, August 26, 2016

Kwaya ya Kanisa Ubungo Hill SDA
Kwaya ya Kanisa Ubungo Hill SDA imekusogezea album yao mpya ya santuri ikiwa na jina album "UNAMUHITAJI MUNGU" pata kuusikiliza ni moja ya nyimbo ndani ya album yao mpya ya "UAMINIFU MKUU".
Kazi hii imefanywa na Producer Vancuva wa Home Town Studio 
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA