Sunday, August 28, 2016

 Ni tukio la kihistoria ambapo waimbaji watakutana kwa ajili ya mazoezi na kubadilishana uzoefu wa tasnia ya uimbaji ikiwemo kutumia mitandao ya kijamii, kufahamu namna ya kutumia vyombo vya muziki, pia kufahamu ya kuwa muziki ni kazi, namna ya kujua video nzuri ni zipi na kujua mengine mengi juu ya tukio hili linafanyika mapema asubuhi ya leo, msikilize mratibu wa tukio Mr Martin Ngussa alipokuwa ndani ya studio za Shua Media.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA