Wednesday, September 28, 2016

Katika pachiko la facebook la kwaya hiyo kuliandikwa maneno ya pongezi na pia wakisema juu ya jubilei ya miaka 20 ya huduma ya waimbaji hawa.
" Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili yenu Gicari na Joe kwa mibaraka kwa familia yenu kwa mtoto aliyezaliwa na familia ya waimbaji wa Ambassadors of Christ imeongezeka sasa.
Huyu mtoto anakuja wakati wa maandalizi ya kutimiza miaka 20 ya huduma ya waimbaji wa AOCC na sherehe zitafanyika mwezi Disemba mwaka 2016 katika viwanja vya Gikondo Expo na hakuna kiingilio. Mtoto huyu atakuwa akikumbukwa kwa jambo jema kama hili miaka ijayo kwa ni mbaraka wa ajabu sana kwetu nae atakuwa akiitwa mtoto wa jubilei na akitukumbusha miaka na maadhimisho haya.
Karibu mtoto Malka karibu na neema za Bwana ziwe pamoja nawe."

 THIS JUBILEE BABY....
For us a child is born, a child is given to us, and the government shall be upon her shoulders...she shall be called Malka Mutabazi...
Hope am forgiven for paraphrasing Isaiah 9:6...
We praise God for you Gicari and Joe for God's blessing upon your family, a beautiful, bouncing baby girl...an incredible addition to the AOCC family.
May she grow in grace, and wisdom in the fear of the Lord as she increases in stature.🙏🏽🙏🏽 is our prayer for you.
The 2 of you have been and still are, pillars in this ministry, we thank God for your incredible dedication and worthy example.
And this baby comes at a special time when we are preparing for Jubilee...when we celebrate 🎉 20 years of God's faithfulness and leading. Am sure as we raise our EBENEZZER at Gikondo Expo grounds on December 24, this will be one among the million things that we will be thanking God for
she will always be remembered as a jubilee baby, a reminder of God's faithfulness and blessings to a ministry that you have loved and dedicated your entire lives to.
Welcome to the world baby Malka and to God be the glory.
 HABARI/PICHA NA www.ambassadorsofchristchoir.org
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA