Wednesday, September 28, 2016

Baada ya kufanya ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kazi ya kuandaa video yao ya kwanza na kushiriki tamasha la uwekwaji wakfu dvd namba mbili ya waimbaji wa Lake Zone Voice, Born to Prase walishiriki chakula cha pamoja katika hotel ya Tilapia jijini humo na kisha siku iliyofuata walianza safari kurudi Dar Es Salaam. Asante kwa kufuatilia matukio ya waimbaji hawa katika ziara yao na endelea kukaa na injilileo blog kwa matukio mengine mengi.





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA