| Kulia ni Suzi, Hilda, Harodia (aliyenyosha kidole) na Caren kushoto wote ni waimbaji wa Born To Praise |
| Kushoto ni Caren na Betsheba wote ni waimbaji wa Born to Praise |
| Betsheba muimbaji wa Born To Praise |
| Haika Webi muimbaji wa kikundi cha Born To Praise |
| Mchungaji Jonas Singo alipokuwa akipata kifungua kinywa mapema hapo jana katika mji kasoro bahari Morogoro. |
| Mr Webi muimbaji wa kikundi cha Born To Praise |
| Muda wa kupata mibaraka ya ombi toka kwa Mchungaji Singo ukawadia |



0 comments:
Post a Comment