Friday, September 23, 2016

Katika safari ya waimbaji wa Born to praise ya miaka minne toka kuanza rasmi kwa huduma yao, hatimaye hapo jana waliweza kuanza utengenezaji wa santuri muonekano ya album yao ya PEPETO. Na kazi ya jana chini ya kampuni ya Infinite Production ya jijini Dar Es Salaam iliweza kuchukua video ya wimbo wa Parapanda.
Mr Johnson Mzirah Mkurigenzi wa Infinite Production alipokuwa kazi hapo jana




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA