Sunday, October 09, 2016

Papa Francis

 Papa Francis ambaye alifanya ziara yake nchini Georgia aliongoza ibada ya misa ambayo ilihudhuriwa na watu wachache mno, baada ya viongozi wa kanisa la Orthodox kuwataka waumini wao kutoshiriki katika ibada ya wakatoliki.
Ujumbe kutoka kanisa hilo la Orthodox ulitarajiwa kuhudhuria ibada hiyo, japo hawakuhudhuria.
Wakati papa francis aliwasili nchini Georgia alilakiwa na waandamanaji wachache wa kanisa la Orthodox, waliokuwa wakiituhumu Vatican kuwa mnyanyasaji wa kidini.
Na BBCSWAHILI.COM
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA