Friday, October 07, 2016

Mchungaji na mkurugenzi wa uwakili STU  mchungaji Stiven Ngussa  akitoa Somo jioni ya leo kwenye semina ya uwakili inayofanyika  Kanisa la wasabato Kimanga
Mchungaji na mkurugenzi wa uwakili STU  Mchungaji Stiven Ngussa (kulia)  akiimba wimbo pamoja  na Mchungaji Sadik Lukinga mara baada ya  Somo jioni ya leo kwenye semina ya uwakili inayofanyika  Kanisa la wasabato Kimanga

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA