Friday, December 30, 2016

 Muimbaji wa nyimbo za injili wa muda mrefu, Edna Matinde aliyasema hayo katika mahojiano na Josia mbele ya kamera za injilileoTV na kusema hakika kwa Mungu hakuna mtu maarufu na hivyo hakuna haja ya kujikweza na kuona wengine hawafai, " kila mmoja anatalanta yake na wote tunaifanya kazi ya Mungu ya kueneza injili kote duniani" alisema Edna mara baada ya kuisha kwa tamasha la SAUTI ZOTE ZIIMBE 2016 lilifanyika ndani ya ukumbi wa Makumbusho ya Taifa posta jijini Dar Es Salaam.
Kulia ni Muimbaji Edna Matinde akiwa na Josia Sadock katika mahojiano
Add caption

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA