Wednesday, December 28, 2016

Mr Emmanuel Kondi alikuwa mratibu mkuu wa tamasha la SAUTI ZOTE ZIIMBE ambalo lilifana sana, pamoja na mambo mengine Mr Kondi aliwashukuru Morning star na injilileo.com kwa kusaidia katika mafanikio ya tukio hilo. Aidha alisema hakuna kizuizi chochote yule ambaye anatamani kushirikiana nao katika matamasha mengine yanayokuja mbele. "TUNAFIKIRI KUFANYA TAMASHA KAMA HILI MWEZI WA NNE MWAKA 2017, KAMA AKIJALIA TUTALIFANYIA UWANJA WA TAIFA"-alisema EMMAUEL KONDI alipokuwa anaelezea namna ukumbi wa makumbusho posta ulivyojaa siku ya Tamasha la SAUTI ZOTE ZIIMBE na hivyo basi kuna malengo ya kuboresha tamasha la mwaka ujao wa 2017.
Kulia ni Mr Emmanuel Kondi akiwa na mwandishi wetu Jackson Kato
Kulia ni Mr Emmanuel Kondi akiwa na mwandishi wetu Jackson Kato
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA