Thursday, December 29, 2016

Moja ya mambo yaliyoonekana kuwa kivutio katika kupendezesha tamasha la sauti zote ziimbe, ni kuwepo kwa muongoza shughuli bora katika kipindi hiki MC Madevu.
Jina lake kamili ni Meshack Abymike Mlungwana, anayepatikana katika kanisa la waadventista Wasabato Magomeni. Anafahamika kama MC Madevu ni kutokana tu na muonekano wake.
Tayari amefanikiwa kuendesha shughuli nyingi na kutokana na uzoefu wake wa muda mrefu katika kazi alisaidia watu kuendelea kufurahia tukio zima la Sauti zote Ziimbe.
Kama ulikosa nafasi ya kuhudhuria tukio hilo, Hapa tunakuletea picha 16 ambazo MC Madevu alikamatwa na kamera zetu za injilileo blog wakati akiendelea na kazi yake...

 Kwa huduma zote za sherehe, uunaweza kuwasiliana naye kupitia: +255 655 771 077 / +255 685 771 077.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA