Friday, December 23, 2016

Hatimaye ule mkutano uliokuwa unasubiriwa sana na wana Mara Conference mkutano wa ATAPE Unaofanyikia Mtaa wa Turwa Tarime hatimaye umefika na hapa ni wajumbe wanafanya usajili , tayari kwa kuanza mkutano.
Na wajumbe wameshaanza kufika toka Bunda, Musoma, Serengeti mpaka Ukerewe wameshaingia kwa ajili ya mkutano huu
Karibuni sana.











Picha/Habari na Bhoke Marwa

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA