Thursday, January 12, 2017

Umewahi kupata nafasi ya kumshukuru MUNGU kwa kile alichokutendea katika maisha yako kupitia talanta aliyokupa yeye mwenyewe?
Kama bado, jifunze kupitia hili...
Muimbaji wa nyimbo za injili Angel Magoti, kupitia ukurasa mmoja wapo wa mitandao ya kijamii ameweka picha iliyoambatana na maneno ya shukrani kwa Mungu...
Ni ombi letu la dhati, MUNGU aendelee kukutumia katika kulitukuza jina lake, Amina!
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA