Saturday, January 07, 2017

 Waimbaji wa kikundi cha Born to Praise waliweza kuimba mapema leo katika ibada ya maalum ya kumuaga Mchungaji David Mbaga ambaye amehamia mtaa wa Dodoma kati sda na mwanzo alikuwa mtaa wa Tegeta sda na mtaa wa Tegeta sasa unachungwa na Mchungaji Steven Letta akitokea mtaa Mwenge sda.










****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA