Wednesday, January 25, 2017

   Washiriki watajianzishia biashara na miradi yao wao wenyewe na kuiendesha. Kanisa kwa kutumia washiriki wake wenye ujuzi na maarifa watawafundisha na kutoa ushauri wa kitaalamu bila ya malipo. 
Aidha mafunzo hayo yatakuwa endelevu na watu wote watafuatiliwa kupitia uratibu wa ATAPE.
Usikose fursa ya kujua mengi na namna ya kuanzisha biashara, kupata uzoefu wa kuongeza faida katika biashara yako na mzunguko wake, kumbuka ni Jumapili hii Januari 29, 2017 ndai ya viwanja vya Kanisa la Kariwa SDA- Moshi.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA