Tuesday, January 24, 2017

 Na Mchungaji James Machage
Kuhubiri ni njia ya kweli au wakala wa Mungu aliyechaguliwa kwa kufikisha ukweli kwa wanadamu. Mungu kupitia Mwana wake Yesu Kristo alitumia njia mbalimbali za kulihifadhi neno Takatifu yaani Biblia na kwa wakati wake likaanza kuhubiriwa toka mwanadamu mmoja kwenda mwingine.
Hali ya maisha ya sasa kuhubiri kunahitajika sana kwani ndilo agizo toka Bwana wetu (Math 28:19-20).
                  ----------------------------------------------------------
Katika Biblia kuna wahubiri mbalimbali mashuhuri na walioifanya kazi kwa bidii kama vile;- (Katika Agano jipya) Yohana mbatizaji, Yesu mwenyewe, Paulo n.k na (Agano la Kale) ni Musa, Yona, Ezekiel, Yeremia, Elisha n.k.
Na kuna wengine walikuwa ni wahubiri wakati wa matengenezo nao kama vile;- Martin Luther, William Miller, Jerome na wengine ambao walilitumaini neno la Mungu na kusimama imara bila kujali vitisho na mateso juu yao huku wakilitegemea tumaini la uzima wa milele
Inaendelea............


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA