Thursday, January 26, 2017


Mkutano mkuu wa Uwakili umeanza hapa Morogoro. 

Mkutano huo unahudhuriwa na wazee wa makanisa na wachungaji wa Konference ya Mashariki Kati ya Tanzania ikiwa na wawezeshaji kutoka Divisheni (ECD), STU, na ECT
Wajumbe wa Semina ya Uwakili ya Jimbo la Mashariki Kati mwa Tanzania wakimsikiliza na kuandika mawaidha ya mnenaji kutoka ECD - Mr Mutero
Mapema asubuhi hii, mnenaji kutoka ECD  bwana Mutero, akizungumza na wajumbe waliohudhuria mkutano huu, bwana Mutero alikazia takwimu za utoaji zisizoridhisha na kuhimiza wajumbe kwenda kuliamsha kanisa katika maswala ya utoaji ambayo yanaonekana kushuka.

credit: Stephen Letta
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA