Thursday, January 26, 2017

Kongamano la Uwakili linaloratibiwa na ECD ( Eastern Central Africa Division) Limeanza rasmi katika kanisa la Waadventista Wasabato Mbeya Kati hii leo. 

Katika ufunguzi wa kongamano hilo, Msaidizi maalum wa Mwenyekeiti wa Division, Mch Philip Baptist, amewaasa washiriki kukubali kubadilishwa na Yesu Kristo ili kumletea Bwana Yesu matunda. 

Semina hizo ambazo zinashirikisha wazee wa makanisa na wachungaji wote wa makanisa ya Jimbo la Nyanda za juu kusini (SHC) zimehudhuriwa na jumla ya wajumbe 406.
Mapokezi Maalum ya wageni, mapema leo wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo
Mch. Mwasomola akizungumza na wahudhuliaji katika kongamano hilo
Mch. Philip akizungumza
Baadhi ya Wana kongamano wakifuatilia kwa makini
credit: Mjoli Mazara, E.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA