Taifa na dunia inakabiliwa na watu wasio na kazi,
miongoni mwao wamo washiriki wa kanisa letu, idadi ya watu maskini
inahusisha washiriki wetu. Washiriki wasiokuwa na kazi hawana kipato ivyo hawawezi kulitegemeza kanisa kwa zaka na sadaka...
Usikose fursa ya kujua mengi na namna ya kuanzisha biashara, kupata uzoefu wa kuongeza faida katika biashara yako na mzunguko wake, kumbuka ni Jumapili hii Januari 29, 2017 ndai ya viwanja vya Kanisa la Kariwa SDA- Moshi.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment