Saturday, February 11, 2017

 Kuna tangazo lilipita katika mitandao ya kijamii kwa njia ya video likionesha kuwa mahubiri ya USHINDI HATIMAYE yataanza kesho yaani February 12, 2017 na huku katika matangazo ya awali na vipeperushi yalionesha ni leo Februaary 11, 2017. Kutoka na maulizo mbalimbali toka kwa wadau kuja kwetu kama wadau wa habari  juu ya taarifa hizi, ndipo injili leo mapema leo ikafanya mazungumzo na Mchungaji Mmbaga mmoja wa mahubiri wa mkutano huu nae akasema "Nimakosa ya kibinadamu tu hayo lakini mahubiri yanaanza leo jioni"
Asante kwa kuwa karibu na injilileo, pata habari zote kila zinapotufikia.
Mchungaji David Mmbaga




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA