Saturday, February 11, 2017

Mkutano wa Ushindi Hatimaye unaofanyika katika kanisa la Mabatini sda, unaanza leo jioni na leo wahubiri yaani Mchungaji Mmbaga na Mchungaji Semba wametambulishwa rasmi ndani ya kanisa la Mabatini sda huku utambulisho huo ukifanywa na Katibu mkuu wa NTUC Mchungaji David Makoye. Karibu na panga kuhudhuria mkutano huu unaoanza leo jioni saa 12 jioni hadi saa 3 usiku.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: , ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA