Friday, February 10, 2017

 Mmoja wa wanenaji wa mkutano wa Ushindi hatimaye, Mchungaji David Mmbaga ameongea na injili leo na kusema kuwa kuna mada na masomo mbalimbali ambazo zitawasilishwa katika mkutano huo wa injili unaonza kesho.
Mada kama ;-Jinsi ya kupata mwezi bora wa maisha, kutazama nyanja mbalimbali za kukabiliana na maisha hasa kiuchumi. Mifano ndani ya biblia kwa wale walioishi katika maisha ya utauwa kwa kutazama pia changamoto zao na vitu gani walivitumia katika kuibeba nuru ya kweli ya Mungu.
Mchungaji pia aliongeza kuwa masomo ya unabii na mada zake zitakuwepo katika mahubiri haya, tusipange kukosa mbaraka huu wa aina yake.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA