Thursday, February 09, 2017

 Muimbaji wa nyimbo za injili toka kwaya ya Ambassadors of Christ- Rwanda, Yvonne Mulisa ambaye amejiunga na kwaya hiyo tangu 2004 akiimba sauti ya kwanza na akiwa kwenye kwaya hiyo, aliweza kuimbisha wimbo "KWETU PAZURI" ambayo ilivuma sana na kuwatambulisha wana kwaya hawa toka kanisa la Waadventista wa Sabato REMERA- Rwanda nao waliweza kupata ziara mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Rwanda.
 











Katika ukurasa wa Facebook wa group la Kwaya hiyo, kuliandikwa maneno haya chini yakiashiria pongezi kwa muimbaji huyu pamoja na familia kwa ujumla kwa kupata mtoto mwingine wa pili.



"A NEW BABY FOR YVONNE...Aka Kwetu Pazuri
We are so grateful to God for this new gift to your family. May the good Lord be praised for His kindness to you.
May He bless your new ministry as you grow your children in the ways of the Lord.
Meanwhile, this place shall always be family to you. Thank you for blessing the world with your God given gift.
May the good Lord look upon your with favor."
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA