Thursday, February 09, 2017



·        -  Kutunga nyimbo zetu
·        -  Kuwa na mtindo wetu wa uimbaji na siyo kuiga kutoka kwa wengine, hii ilikusudiwa kuwa kama identity ya kikundi.
·        -  Kutoa huduma pale tunapohitajiwa
·         - Kurekodi AUDIO CD na  VIDEO  yakiwa kama mlengo ya baadae sana maana hatukuwa na mfuko wala chochote; lakini kwa kuwa MUNGU ni wa ajabu lengo hili lilitimia ndani ya muda mfupi. JINA LA BWANA LITUKUZWE MILELE.
·        -  Kuwa na mtindo wetu wa uimbaji na siyo kuiga kutoka kwa wengine, hii ilikusudiwa kuwa kama identity ya kikundi.
·         - Kutoa huduma pale tunapohitajiwa
·         - Kudumisha uhusiano na wanafunzi wenzetu pale shuleni, vikundi vingine na kwaya.
·         - Kuwa na mfuko wa kikundi
v  NB
 Tuna lengo la kufanya medical missionary (uinjilisti wa kitabibu) kwa kuwa wote tunasoma fani ya afya, na lengo hili linatupeleka kwenye lengo la kuwa na hospitali ya kikundi hapo baadae. Hili limekuja baada ya kuchaguliwa kusoma fani ya utabibu mnamo mwaka jana.
 


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA