Wednesday, February 08, 2017

Hivi ni baadhi ya vifaa alivyotumia mama Ellen G. White, mwanamke anayeaminiwa na kanisa la waadventista wasabato kama nabii wa Mungu...vifaa vilivyobaki kama makumbusho katika nyumba aliyopata kuishi huko nchini Marekani.
Endelea kufuatana nasi ili ujifunze kitu.
Kibao kinachoonesha nyumba aliyoishi mama Ellen na mume wake James White mwaka 1856-1863

Nyumba waliyoishi wawili hao
Kitanda alichokuwa akilalia enzi za uhai wake
Meza na kiti alichokuwa akitumia kuandikia njozi alizokuwa akipokea
Kalamu na taa aliyokuwa akitumia katika kuandika
Meza na taa yake
Baadhi ya maandishi yake kabla hayajachapishwa kuwekwa katika vitabu. picha zote na Amusir Solutions Media.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA