Tuesday, February 21, 2017

Ikiwa ni tayari juma la kwanza la Mkutano mkubwa wa injili wa "USHINDI HATIMAYE" unaoendelea jijini Mwanza na kuoneshwa moja kwa moja (Mubashara) na kituo cha Runinga kinachomilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato, Morningstar. Watu wengi kupitia kwenye vituo vyao vya kufuatilia mahubiri haya wameendelea kuleta taarifa za vituo vyao na kwa jinsi wanavyobarikiwa.

Nasi kwa kuthamini hilo, hapa tuna baadhi tu ya mkusanyiko wa Ujumbe mfupi uliotufikia timu ya injilileo.com tukiwa kama wadau wakubwa kabisa wa mikutano hii inayoendelea.

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA