Monday, February 06, 2017



 HISTORIA YA WAIMBAJI NA UONGOZI:
Godson Athumani     m/kiti wa kikundi
Yoel  E. Ndegea  katibu wa kikundi
Paul Elias mhazini wa kikundi
Severine Mlungwana   mkuu wa mawasiliano na
Enock Zabron mwalimu wa kikundi.
Godson, Severine na Enock wote walikuja Pugu sekondari  wakitokea Tabora boys ambako walisoma o level, Paul Elias alikuja akitokea Bupandagila sekondari iliyoko mkoani Simiyu na Yoel E. Ndegea akitokea St. Kalori mkoani Sengerema, na ndipo tulipoungana na kuanzisha kikundi hiki.
Inaendelea.....

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA