Wednesday, February 15, 2017

 MAFANIKIO YA KIKUNDI:

  Tulifanikiwa kutunga nyimbo zetu wenyewe ambapo hadi sasa tuna nyimbo takribani 25,

 Mnamo mwezi December  2013  tulifanikiwa kurekodi AUDIO CD kwa ufadhili kutoka ADVES PRODUCTION STUDIO ambao  ndio waliotufanyia kazi hiyo, MUNGU awabariki sana.

  Tarehe 11/05/2014 tulifanikiwa kuzindua kazi hiyo (AUDIO CD VOL 1) Ambayo ilitambulika kwa jina  ‘’KAMA  YESU ANGERUDI  LEO”

  Tar 02/11/2014 tulifanikiwa kuzindua mkanda huo na mpaka sasa kazi hiyo inaendelea kubariki watu wa MUNGU. Albam hiyo inaenda kwa jina, “ NAMSHANGAA HUYU
 Wasiliana na waimbaji hawa 0712-378-175
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA