Holy Reunion ni kikundi cha uimbaji toka kanisa la waadventista wasabato ILALA,kundi hili linaundwa na vijana kumi(10) kama;
>RUTH AKINYI CHAULO
>MZAMBARAUNI
>MBURAHATI
>TABATA-CHANG'OMBE
>ANGAZA
>MABALOZI ILALA
>VIJANA USHINDI
>VIJANA MIKONGENI
na VIKUNDI kama vile;
SONDA YA DILU,HOLY REUNION,MALEVOICE SIGNATE na WENGINE WENGI!!!!!!
>RUTH AKINYI CHAULO
>GRACE EDWARD
>ELIZABETH RICHARD
>GIFT SMART
>HAPPY NGEKI
>SAFINAEL MBWAMBO
>PETER JOSEPH
>GLADMAN MASHAMBO
>YARED OMOLO
>ABISHUA J. MGANGA
WAIMBAJI WA HOLY REUNION |
Holy Reunion imefanikiwa kuwa na album ya kwanza yenye jina ''YESU ALITUFIA" na mwezi wa saba kutakuwa na TAMASHA UBWA LA UIMBAJI lenye mjumuiko wa kwaya na vikundi toka makanisa ya waadventista wasabato toka;>KINONDONI
>MZAMBARAUNI
>MBURAHATI
>TABATA-CHANG'OMBE
>ANGAZA
>MABALOZI ILALA
>VIJANA USHINDI
>VIJANA MIKONGENI
na VIKUNDI kama vile;
SONDA YA DILU,HOLY REUNION,MALEVOICE SIGNATE na WENGINE WENGI!!!!!!
KATIKA PICHA:WAIMBAJI WA HOLY REUNIONI WAKIWA NA BAADHI YA WASHIRIKI WA SIKU HII KATIKA MOJA KATI YA PROGRAMU WALIZOTOA CHUONI HAPO... |
KATIKA PICHA:MWIMBAJI HAPPINESS NGEKI AKIWA KATIKA MOJA YA PROGRAMU SIKU HIYO |
YARED OMOLO,MMOJA KATI YA WAIMBAJI WA HOLY REUNION AKIHUBIRI SIKU WAKIWA CHUO CHA KAIRUKI,SIKU HII ILIKUWA NI IBADA YA MASAA YA IJUMAA JIONI,KUMKARIBISHA MGENI SABATO... |
PETER JOSEPH,MWIMBAJI WA HOLY REUNION AKIWA CHUO CHA KAIRUKI |
0 comments:
Post a Comment