Saturday, June 29, 2013

Leo ni ibada mojawapo kati ya ibada za kufungua sabato ambapo kanisa hili huwa na vipindi mahususi kwa kuwasogeza watu chini ya msalaba wa KRISTO..Vipindi hivi ni kama vile uimbaji na maswali na majibu
Vipindi hivi ni endelevu na sana wageni wanaalikwa kufika mahali hapa na kuwa huru kushiriki vipindi hivi,kwani havibagui wala havichoshi.
Ijumaa ya leo katika ufunguzi wa mgeni sabato,kuna wageni toka sehemu mbalimbali kama vile,ANGEL MAGOTI toka Temeke,CANAN BROTHERS toka Ubungo Hill,baadhi ya waimbaji wa VEGA-CAPELLA wengine toka pande tofauti za mji wa Dar Es Salaam..

OMBI akiimba wimbo wa "GOD WILL MAKE A WAY"


OMBI pia ni mmoja kati ya waimbaji waTM-MUSIC SERIES ambapo siku ya  SABATO YA KESHO TAREHE 29 JUNE,2013 itakuwa ni HARUSI YAKE kuanzia saa 9 ALASIRI kanisani MAGOMENI..


BAADHI YA WASHIRIKI WALIOHUDHULIA KATIKA SIKU HII


Washiriki wakifatilia kile kinachojilil mahala hapa


wageni na wenyeji wakiwa makini kwa vipindi vya siku ya leo


sisters' in Grace waimbaa katika kipindi cha uimbaji

sisters' in Grace


Baraka mwimbaji wa ROYAL ADVENTIST toka MOROGORO nae ni mmoja kati ya waimbaji waiohudumu siku hii...


waimbaji katika maandalizi ya HARUSI YA OMBI


waimbaji katika maandalizi ya HARUSI YA OMBI(WA KWANZA KULIA)


Waimbaji wa sauti ya pili katika maandalizi ya wimbo maalum siku ya harusi hiyo.

"AWASOME GOD" ndio wimbo ukifanyiwa zoezi mahala hapa kwa maandalizi ya harusi ya mpendwa OMBI...


Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA