Saturday, June 29, 2013

Ni siku ya tarehe 22 JUNE,2013 ambapo kwaya hii yenye makazi yake hapa kimara jijini Dar Es Salaam,ikiwa na viongozi wake ilielekea maeneo ya kanisa la waadventista wasabato TABATA ambapo uzinduzi huu ulifanyika..

Katika uzinduzi huu,kwaya mbalimbali zilihudumu kwa njia ya nyimbo,kwaya hizo ni kama kwaya ya CHANG'OMBE,MBURAHATI,KIMARA na wenyeji TABATA VIJANA......

Mgeni rasmi katika uzinduzi huu ni Mr.Chalanga toka kanisa la waadventista wasabato Chang'ombe.....

wanakwaya wa kwaya zote wakiwa pamoja kuimba wimbo wa namba 23,toka vitabu vya nyimbo


kwaya ya CHAN'GOMBE ikihudumu kwa njia ya nyimbo



washiriki wakifatilia kile kinachojili hapa

washiriki toka sehemu mbalimbali wakiwa makini katika huduma hii ya uzinduzi



WAGENI KWA WENYEJI WAKIWA MAKINI KWA TUKIO HILI....


HAWA NDIO WENYEJI,KWAYA YA TABATA VIJANA WAKIHUDUMU

KWAYA YA KIMARA IKIHUDUMU


PICHANI:Ni tukio zima la uzinduzi linaanza mahala hapa,mgeni rasmi,Mr.Chalanga(WA PILI KUSHOTO) akiwa na wenyeji ni katika zoezi zima la kuzinduz AUDIO-ALBUM mpya ya VIJANA TABATA

Categories: ,

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA