Wednesday, April 30, 2014




Ssozy Joram toka Uganda ambaye ni Mwalimu wa Ambassadors Of Christ ya Rwanda akizindua DVD ya Light Bearers

Baadhi ya waimbaji wa kike wa Acacia Singers

Joseph Oola akiimba

Orrepa Sekhute Feruzi toka Afrika Kusini

Light Bearers wakiimba
Acacia Singers

John Yared walishirikiana na  Joseph Oola
Didier Karasira toka Kigali,Rwanda akiimba kwa hisia

Suzan Mkaabya toka Uganda akiimba
Toka kushoto John Yared,Joseph Oola na James Yared
KKKT toka Kijitonyama nao walikuwepo

Rita Jonathan alionesha kuwa bado anakiwango
Dada Elina toka Rwanda alibariki waliohudhuria
Nuru Kitambo alikuwepo

Waimbaji wa Light Bearers toka JCB Studioz ya jijini Dar es salaam April 27,mwaka huu walizindua toleo lao la kwanza la DVD,Uzinduzi uliofanyika katika ukumbi wa JK kwenye viwanja vya maonesho ya sabasaba jijini Dar es salaamUzinduzi huo ulihudhuriwa na waimbaji toka Tanzania,Uganda na Rwanda. (Picha zote na Emanueli Feruzi)












***ASANTE MDAU NAOMBA UTUME PICHA ZAKO WATSUP NO 0717-367693***

Sunday, April 27, 2014

Toka kushoto ni Elina (Rwanda),Mtangazaji Maduhu,Bambino Phillip,Suzan Mkaabya(Uganda),Fredy Kiria,Ssozy Joram(Uganda),Waziri Barnabas na Didier Karasira (Rwanda) hapa ni baada ya kipindi cha #LuluzaInjili#MorningStarRadio leo,kesho wakishirikiana na Kings BiblosOreppa Sekhute Feruzi,Acacia Singers, Nuru KitamboJoseph Oola watakuwepo PTA kuanzia saa 6 mchana kwenye Tamasha la Uimbaji la bure

PICHA NA MTANGAZAJI MADUHU



***ASANTE MDAU NAOMBA UTUME PICHA ZAKO WATSUP NO 0717-367693***

Tuesday, April 22, 2014

Semina imefunguliwa na mkuu wa mkoa wa Tabora Mama Fatuma Mwansa akiwaasa wanasemina wote waonyeshe manufaa katika jamii ambayo wameyapata katika semina hii pia kuwa tajiri si dhambi ili mradi mali hizo uweumezipata kihalali


Ni Association of Tanzania Adventist Professionals na Entreneurs wakiwapamoja katika semina za kubadilishana uzoefu kwa mafunzo ya kujiajili na kutumia fursa zilizopo kukabiliana na masikini ajira..

WANASEMINA WALIPATA NAFASI YA KUTEMBELEA KATIKA CHUO CHA NYUKI KILICHOPO HAPA TABORA AMBAPO WAMEPATA MAFUNZO JUU YA UFUGAJI WA NYUKI BORA NA FAIDA YA NYUKI KWA UJUMLA KATIKA UJASILIAMALI..

TOKA KUSHOTO NI PASTOR MAMBWE,PASTOR IZUNGO,PASTOR BAGAMBE KIONGOZI WA UWAKILI KATIKA EAST AND CENTRAL DIVISION



MWISHO WA SEMINA WANASEMINA WAKIINGIA KATIKA UKUMBINI KUMPATIA ZAWADI MGENI RASMI





wadau katika mafunzo siku ya semina


Tukio la kuhitimisha mwezi huu Uzinduzi wa The Light Bearers toka JCB Studios jijini Dar es salaam,Aprili 27,2014-Viwanja vya Sabasaba PTA kuanzia saa 6 mchana hakuna kiingilio Mwalimu Sozzy Joram wa Ambassadors Of Christ,Didier Karasira mwalimu waAbakurikiye Yesu ChoirOreppa Sekhute FeruziNuru KitamboJoseph Oola,Acacia Singers na wengine wengi watakuwepo..


NA MADUHU MTANGAZAJI



ASANTE MDAU NAOMBA UTUME PICHA ZAKO WATSUP NO 0717-367693

Sunday, April 20, 2014

Ni tamasha lililo na hamasa ya kujenga hali bora na nzuri kiroho kwa kuunganisha vijana wa mtaa Kurasini kwa kumsifu Mungu wao kwa kuimba..

VIJANA KURASINI WAKITOA HUDUMA YA UIMBAJI



Ni tukio lilikuwa na ugeni mkubwa toka viongozi wakubwa wa kanisa la waadventsita wasabato Tanzania union,Conference na General conference...
Wito ukiwa ni kuzidi kuchangia maandalizi ya mwisho kabisa na takribani wiki mbili zijazo,matangzo yaanze onyeshwa..

BENJAMIN SCHOUN MAKAMU WA MWENYEKITI WA WADVENTISTA WASABATO DUNIANI AKIWA NI MGENI RASMI,HAPA AKITOKA MARA BAADA YA HUDUMA KUU


KWAYA YA KINONDONI SDA CHUCRH WAKIJIANDAA KUIMBA SIKU HII YA LEO



Pr.Rwekundayo-mwenyekiti north Tanzania union mission(wakwanza kushoto) Pr. James Machange South Tanzania Union - Executive Secretary(katikati),Mr. Jack Manongi South Tanzania Union Mission- Treasurer(kwanza wa kulia)



HAPA NDIPO MCHUNGAJI  SCHOUN AKIZINDUA TELEVION YA MORNIG STAR KWA KUBOFYA KITUFE CHA KWENYE LAPTOP 

Mkurugenzi wa Vyombo vya Habari vya Kanisa hilo Tanzania Mch Mussa Mika


Mkurugenzi wa Vyombo vya Habari vya Kanisa hilo Tanzania Mch Mussa Mika akitoa ufafanuzi juu ya jambo 


Thursday, April 17, 2014

KWA MUJIBU WA TAARIFA NILIZO ZIPATA SASA HIVI KUTOKA KWA MR. K MANUMBU AMBAYE NI MHAZINI WA TAMC T-SHIRTS ZA MORNING STAR TV SASA ZINAUZWA KWA BEI YA TSHS 20,000/=HIVYO BASI KWA WALE WOTE WATAKAO HITAJI WA WASILIANE NAMI KWA NAMBA 0763 797476/0784494035 ILI TUONE NAMNA YA KUWAAGIZIA KUTOKA MSRTV ILIYOPO DAR-ES-SALAAMKUMBUKA LENGO SIKUNUNUA TSHIRT PAMOJA NA UBORA MKUBWA ZILIZO NAO BALI NI KUCHANGIA UANZISHAJI WA MORNING STAR TVBARIKIWA.FROM PR. HARUNI N.E KIKIWA COMMUNICATION&HEALTH MINISTRIES DIRECTOR-SHC





*************MATH 28:19-20 "BASI ENENDENI...''*************

THEME : "Be Faithful Unto Death" M/ SPEAKER: Pr. MwakalongeA/ SPEAKERPr. Malekana, AFYAProf Gesase . UJASIRIAMALI: PR. Mange,  UCHUMBA/MAHUSINIANO: PR. Kingamkono NDOA: MR$MRS ANKO CHRISS BUHATWA. SELF ESTEEMMAMA RUTH IYEMBE. ADVENTIST LIFE STYLEMWL KAZAGATA  ,    
 Main Text: Revelation 2:10,   Reatreat SongNo 73, ""Bwana Uniongoze juu""

>>Retreate hii kuanza kesho tarehe 18 APRIL HADI 21 APRIL 2014<<

MWENYEKITI WA TUCASA IFM ISRAEL MCHOME AKIWA KATIKA USAFIRI TOKA DAR ES SALAAM KWENDA DODOMA


ANNA,MHAZINI WA TUCASA IFM KATIKA SAFARI KWENDA DODOMA


ENOCK AKIWA KATIKA SAFARI




Family music ni  moja kati ya vikundi vya uimbaji  kinachoundwa na jumuia ya vijana waadventista wa sabato kutoka katika maeneo mbalimbali ya Union ya Kusini mwa Tanzania wakiongozwa na ndugu Ike Eric ambaye ni mwenyekiti wao.





Albam hii imebeba jina la 'Usihuzunike' ina nyimbo nane ambazo ni , 

  • Tazama Nasimama

  • Twakusifu

  • Ninaimba  wema wa Mungu.na nyinginezo

Wednesday, April 16, 2014

T-shirt Za Uzinduzi wa Morning Star TV Zime wasili SHC Baadhi ya Watumishi wa Mbeya Adventist Primary School wakiwa ndani ya T-shirts 
Sasa Zimebaki T-shirt Ishirini Hivi. Wahi upate Uniform ya Siku ya Kilele cha Uchangiaji wa Morning Star TV.


 PICHA NA Haruni Kikiwa






                         *************MATH 28:19-20 "BASI ENENDENI...''*************

T-shirts hizi zitakuwa ni moja kati ya viashilia vya umoja katika kuchangia television hii itayozinduliwa siku ya jumamosi hii ambayo ni sku ya sabato ndani ya viwanja vya PTA(SABA SABA) jijini DAR ES SALAAM...

Zinauzwa kwa Tsh.15,000/= tu..PIGA SIMU HIZI KUAPATA YAKO  0763-797476 AU 0784-494035 PR.HARUNI KIKIWA THE COMMUNICATION&HEALTH MINISTRIES DIRECTOR-SHC



MDAU AKIWA KAPENDEZA KWA VAZI HILI









                          *************MATH 28:19-20 "BASI ENENDENI...''*************

MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI KATIKA SABATO YA WAGENI ILIYOFANYIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO SEGEREA TAREHE 12/04/2014

 ILIKUWA NI SIKU YA FURAHA KWANI WANA NA BINTI ZA MUNGU WALIJUMUIKA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUMWABUDU MUNGU NA PROGRAMU ZIKIWA ZIMEPANGILIWA VYEMA CHINI YA MKURUGENZI WA SHULE YA SABATO

Dada Beatrice Chumah ambaye ni karani wa shule ya sabato akiongoza kipindi cha shule ya sabato









       

    Mkazo mkuu katika siku hii ya wageni ni katika kujenga mahusiano mema na majirani zetu, wakiwemo  ndugu na jamaa na mhubiri wa siku hiyo alikuwa ni Pr  Singo wa mtaa wa Magomeni

waimbaji wa kwaya ya kijichi wakimsifu Mungu katika siku hiyo




Waimbaji wa kwaya ya mbezi luis wakiimba katika siku ya wageni kanisani segerea

waimbaji wa kundi la The Pearl Gate Singers kutoka kanisa la waadventista wa sabato segerea walikuwa ni miongoni mwa waimbaji katika siku hiyo.

 

Baadhi ya washiriki wa kanisa la waadventista wa sabato wakisikiliza mahubiri

 




SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA