Furaha isiyo na kifani ilioneshwa na wanafuzi wa Alpha adventist mara
baada ya kuona bus jipya la shule; Ndani ya bus ni Muhazini wa W.T.C, Pardon Kikiwa , Kulu Jeremia dereva A.A.S Christopher Omahe muhasibu, Mlege charles Muhazini A.A.S pamoja na Emmanuel Allen Mkurugenzi wa elimu W.TC; Endelea kuombea shule yetu ya Adventist Alpha, pia form zinapatikana shuleni, mlete mwanao kwa elimu bora ya kimbingu na elimu.
habari na Adventist Alpha
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
habari na Adventist Alpha
WATOTO WAKIFURAHI MARA BAADA YA KUPATA BASI HILI JIPYA SHULENI HAPA |
HILI NDILO BASI JIPYA LA SHULE YA ALPHA ADVENTIST SCHOOL HAPA KIGOMA MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA MAZINGIRA YA SHULE. |

0 comments:
Post a Comment